Ruka kwenda kwenye maudhui
iPAB.

Kwa nini iPAB

Hatuuzi software. Tunatengeneza biashara.

Kampuni nyingi za “mifumo” zinakuuzia app halafu zinatoweka. iPAB ilianza kwa kukaa ndani ya biashara za Tanzania; kuhesabu stoo, kuona mauzo yakipotea mlangoni; na kujenga hasa kile kinachozuia hasara. Hatukupi zana ya kawaida — tunaunda mfumo kulingana na jinsi biashara yako inavyoendeshwa hasa, kisha tunabaki mpaka ufanikiwe. Na kwa watu 9,000+ wanaotumia iPAB kila siku, kila kipengele kinaboreshwa na uhalisia wa kazi, si kubahatisha. Leo biashara 1,220+ zinatumia iPAB, kuanzia maduka ya dawa Dar mpaka vyuo vya NACTVET.

Hatutengenezi app, tovuti, wala mifumo. Tunatatua changamoto za biashara kwa teknolojia.

iPAB International Limited

Misingi tunayojishikilia nayo

  • 01

    Imeundwa kulingana na jinsi unavyofanya kazi hasa

  • 02

    Matokeo kuliko vipengele

  • 03

    Tunafundisha watu, si kufunga mfumo tu

  • 04

    Msaada wa karibu, mpaka ufanikiwe

  • 05

    Inaboreshwa na data ya watumiaji 9,000+ wa kila siku

  • 06

    Imejengwa Tanzania, kwa uhalisia wa biashara za Tanzania

Pamoja na wateja wetu

Tunabaki mpaka ufanikiwe.

Kikao cha kazi cha iPAB na wafanyakazi wa NOBO College
Kikao cha kazi NOBO College.
Timu ya iPAB na wafanyakazi wa mteja kwenye POS ya House of Trice
Pamoja na timu ya House of Trice.
Mafunzo ya wafanyakazi darasani kwa kutumia projekta
Mafunzo ya wafanyakazi, kazini kwa mteja.

Watu wanaopokea simu saa nane usiku

  • Isaya Tarimo

    Mkurugenzi Mtendaji

    Alianza kwa kuhesabu stock za watu wengine.

  • Albert Mageuzi

    Mkurugenzi wa Teknolojia

    Halali mpaka kasoro zote za biashara zitatuliwe

  • Valentina Simon

    Brandi & Msemaji mkuu

    Sauti ya iPAB.

Tupo Dar es Salaam; tunahudumia biashara Tanzania nzima

Jumatatu–Jumamosi 8:00–17:00

Tufuate Instagram

Jua biashara yako inapoteza pesa wapi.

Ujumbe mmoja wa WhatsApp. Tutakuambia hasa tungerekebisha nini.