Ruka kwenda kwenye maudhui
iPAB.

Bei

Bei za wazi. Hakuna gharama zisizojulikana.

Usimikaji wa mara moja unajumuisha usanidi, marekebisho, na mafunzo ya wafanyakazi wako. Kisha mpango wa mwezi, unaolipwa kila miezi 3.

Inastallation ya mara moja

TZS 50,000 – 1,000,000

Inategemea marekebisho na idadi ya wafanyakazi wa kufundishwa. Bei kamili baada ya ziara ya bure.

Chagua mpango. Panda daraja wakati wowote.

Inayopendwa zaidi

Business

Biashara inayokua, wafanyakazi wengi

TZS 29,900/mwezi

  • Kila kitu muhimu cha kuendesha biashara
  • Akaunti za wafanyakazi
  • Tahadhari za upotevu
  • Kumbukumbu za wateja

Pro

Maduka ya dawa, hoteli, wauzaji wa jumla wenye shughuli nyingi

TZS 49,900/mwezi

  • Yote ya Business
  • Ukaguzi wa AI / moduli ya sekta
  • Msaada wa kipaumbele

Custom

Mahitaji maalum

Tuongee

  • Huduma kulingana na mahitaji yako

Unahitaji vifaa? Tunauza pia printa, scanner, na vifaa vya POS. Ulizia kwenye WhatsApp.

Ulizia WhatsApp

Maswali kuhusu bei

Tunakuja kufunga, kurekebisha, na kufundisha; ni kazi halisi, inayofanyika mara moja.

Kila miezi 3, kwa M-Pesa, Tigo Pesa, au benki.

Wakati wowote, unalipa tofauti tu.

Ndiyo; printa, scanner, na vifaa vya POS. Ulizia WhatsApp tutakupa bei pamoja na usimikaji.

Hujui mpango upi unakufaa?

Ujumbe mmoja wa WhatsApp. Tunakuja bure, kisha tunakupa bei kamili; usimikaji na mpango.